Wanasemaga kuna maisha baada ya muziki, Drake na Kanye West mambo safi, hakuna bifu tena, Kanye West atajwa na Drake Kwenye orodha ya watu muhimu sana kwenye maisha yake.
Mambo ya Bwana Floyd Mayweather huwa hayaishi, hapa anaonesha fedha zake, mikufu ya dhahabu na chombo kilichotengenezwa kwa dhahabu halisi, Mwenyewe anasema mafanikio yake yanaweza kukupa motisha au chuki.