Hahaha ngoja kwanza nivune vitunguu vyangu pamoja na alizeti bro,halaf utanipa linkWote hawa ni Bongo hii hii. Kama umeuza alizeti zako au tani za ufuta just slide in their DM huko IG. Utashangaa...siyo vigumu wala...ila tu uwe na stamina vinginevyo utajutia pesa yako [emoji16][emoji16][emoji16]
Hii kweli ndiyo Shimba ya Buyenze duh [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni mwaka gani mliwapiga hawa jamaa Hamsa?
Kakimbaumbau ka Kizaramo kamenyang'anywa nywila. Siku kakirudi sipati picha. Tuendelee kukaombea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kifua cha Jay Z [emoji16][emoji16][emoji16]