Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama nakuona unavyotabasamu wakati ukitaipu hii komenti. Hovyo kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahahaha, lazima utabasamu kamanda[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hakuna kitu kitamu maishani kama kuifunga Yanga bao nyingi[emoji16][emoji16][emoji16].....watu wa Yanga tusameheane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manchester United wamewekeza nguvu zao kuwasajili wachezaji wanne mwishoni mwa msimu ambao ni: Kalidou Koulibaly, 27, kutoka Napoli, Lucas Hernandez, 22, wa Atletico Madrid, Nikola Milenkovic, 21, wa Fiorentina na Douglas Costa, 28, wa Juventus. (Mirror)
 
BAN inaisha lini?
Lucifer original kalimwa ban?

Kwa jinsi matusi yalivyozidi hapa JF nilikuwa sijui kama ban zinaendelea. Kuna ule uzi juzi jamaa anadai sijui possibility ya kupata michepuko inaongezeka ukioa aisee kulikuwa na ligi moja ya kufa mtu na mods waliacha tu ikaendelea kwa karibu siku mbili nzima...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…