Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Manchester United wanapania kumnunua winga wa Borussia Dortmund Jadon Sancho, 18, ambaye thamani yake inakadiriwa kuwa euro milioni 70 baada ya klabu hiyo ya Ujerumani kumnunua kutoka Manchester City kwa euro milioni nane mwaka 2017. (Sun)
 
Beki wa kati wa Inter Milan na Slovakia Milan Skriniar, 24, ni miongoni mwa wachezaji wanaolengwa na Manchester United, wengine ni pamoja na mlinzi wa Napoli raia wa Senegal Kalidou Koulibaly, 27, na Joachim Andersen, 22 wa Sampdoria. (Independent)
 
Huu uzi usipokuwepo wiki tu ukiulizwa swali usijibu kwa haraka, rudi nyuma ujisomee komenti zilizo pita [emoji1][emoji1][emoji1]
Jiran huyu basi tu.
Kuna kaburi huko nmeliona anasema "nikirudi nitataka hongera kama beef na atanipa"
Sijui anashida gani jirani[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiran huyu basi tu.
Kuna kaburi huko nmeliona anasema "nikirudi nitataka hongera kama beef na atanipa"
Sijui anashida gani jirani[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilidhan hujaona
 
Mlinzi wa Chelsea Gary Cahill, 33, ameshangazwa na hatua ya kuachwa kwake nje ya kikosi kitakacho kabiliana na Malmo katika mchuano wa ligi ya Europa baada ya 'The Blues' kupewa kipigo cha mabao 6-0 na Manchester City Jumapili iliyopita. (Daily Telegraph)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…