Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ee bana no ubuyu wa reja reja cant wait ubuyu wa jumla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila sura ya tarzan kopirait na kifua chake zile bolibo sijui kazifanyaje zikawa vile na wala hazitunzi vizuri daah
[emoji23][emoji23][emoji23]punguza umbea.

Eti bolibo.
Naona mange anasema kapata anayemzidi hata yeye,tarzan ana miguu kama yake(mange)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]punguza umbea.

Eti bolibo.
Naona mange anasema kapata anayemzidi hata yeye,tarzan ana miguu kama yake(mange)

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaha hadi nimemmis kitoo enzi tunasuntwa umbeeeeeeaaaaaaaa

Mange imemuuma sana kakosa wa kubishana nae maana katarzan kamewachoka wabongo na mawigi yake kama ndevu za mahindi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…