Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimeona kila kitu huko nimebaki nacheka kama chizi[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jiran anafurahisha sana. Halafu kaka ako moud huwa anapita kama haoni ila ukishasahau anakumbusha yaan ni jiran part two
 
Hii bila shaka itakuwa movie, kama mwaka jana tu....Nae mwisho wa siku ataoa gumegume kiukweliiiiiiii maana si kwa chaguzi hizo hata kama ni movie .

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwanamke anaishi london ana pesa zake na ben ndo anachokipendea hicho,kufunga ndoa tena za kiserikali kwake jambo jepesi maana wana passiport na madocument yanayompa faida azitakazo hua anaoa na kuacha
 
Manchester United wanapania kumnunua winga wa Borussia Dortmund Jadon Sancho, 18, ambaye thamani yake inakadiriwa kuwa euro milioni 70 baada ya klabu hiyo ya Ujerumani kumnunua kutoka Manchester City kwa euro milioni nane mwaka 2017. (Sun)
 
Beki wa kati wa Inter Milan na Slovakia Milan Skriniar, 24, ni miongoni mwa wachezaji wanaolengwa na Manchester United, wengine ni pamoja na mlinzi wa Napoli raia wa Senegal Kalidou Koulibaly, 27, na Joachim Andersen, 22 wa Sampdoria. (Independent)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…