Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Chelsea wanaamini kuwa wanaweza kumsajili moja kwa moja mshambuliaji raia wa Argentina Gonzalo Higuain, 31, kwa chini ya euro milioni 36 kama walivyokubaliana na Juventus hapo awali. (ESPN)
 
Mlinzi wa Chelsea Gary Cahill, 33, ameshangazwa na hatua ya kuachwa kwake nje ya kikosi kitakacho kabiliana na Malmo katika mchuano wa ligi ya Europa baada ya 'The Blues' kupewa kipigo cha mabao 6-0 na Manchester City Jumapili iliyopita. (Daily Telegraph)
 
Rais wa Lyon Jean-Michel Aulas amesema mshambuliaji wa France Nabil Fekir,25 ambaye analengwa na Liverpool na Chelsea, anakaribia kusaini makubaliano ya kurefusha mkataba wake katika klabu hiyo ya Ufaransa. (Mirror)
 
Huyo mwanamke anaishi london ana pesa zake na ben ndo anachokipendea hicho,kufunga ndoa tena za kiserikali kwake jambo jepesi maana wana passiport na madocument yanayompa faida azitakazo hua anaoa na kuacha
Duh!!
Hata hivyo simshangai sana Benny , maana kakaa kirembo rembo mno...Kitonga inamhusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…