Umeona umbea wa pugi kuchoropoa kitumbo cha jamaa wa r chuga
Series nyingi za philipines wanaweka lakini si kama ile ya wa america yaani wanakupa picha kabisa wanavyoparurana.Philiphines walianza zamani mno angalia the promise ya akina angelo etc lazima shoga achomekwe humo na wanapenda kuwaweka scene za masaluni
[emoji23][emoji23][emoji23]basi itakuwa nimelewa.[emoji485][emoji485][emoji898][emoji898][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shosti unavyojua kugeuza dozi sasa. Dozi inasema akalale bana hakuna cha uji wala kona ya bwiru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mgonjwa asije zidiwa bureeee
Insta?Umeona umbea wa pugi kuchoropoa kitumbo cha jamaa wa r chuga
Sio insta ni humu humu kule mji mzito huu
[emoji125][emoji125][emoji125]twende kwanza tukamuone mange katika fekero akimsifia zari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]basi itakuwa nimelewa.[emoji485][emoji485][emoji898][emoji898]
Ngoja nikalale sasa[emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Heee kumbe aiseee bahati mbaya hizo za amerika zimenipitia mbali kabisaaSeries nyingi za philipines wanaweka lakini si kama ile ya wa america yaani wanakupa picha kabisa wanavyoparurana.
Mungu tu ndo atatuokoa
Sent using Jamii Forums mobile app