AiseeNimejikuta mfukoni na hii bill niliipata moja ya chimbo kubwa huko kanda ya Ziwa
View attachment 1033985
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nmecheka sana baada ya kuiona hii post [emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna hata mmoja mzaliwa wa Mwanza.
Faunda = Mzaramo (Dar)
#1 Folowa = Mnyiramba (Singida)
Esta = Likely Nshomile (BK)
Mwakaleli Moja = Mnyakyusa (Mwakaleli)
Bae wa Uzi = ???
Potensho membazi Innocent Bro = Arachuga?
Ndiyo lengo lake. Kwema lakini bro?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nmecheka sana baada ya kuiona hii post [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]weraaaa weraaa
Naona picha imepatikana[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katibu wa TRM
Thubutuu...!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katibu wa TRM
Hahaha kwema kabsa bro,,tunapambana na joto tu hukuNdiyo lengo lake. Kwema lakini bro?
Huku kwema. Hali ya hewa safi sana kwa kilimo cha infants. Tumshukuru Mungu bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hahaha kwema kabsa bro,,tunapambana na joto tu huku
Habar ya uzima huko??hali ya hewa vp huko