Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Toa like acha uchoyo

Ukiwa nyuma ndio inavyokuwa

Sio lazima niwe kwenye page ya mwisho

Sasa rudi nyuma katoe like kuliko kukaa kurefresh page ulipo

Utajifunza matumizi ya JF na kuenjoy gemu

Team burudani

Nitakuangalia wewe unatoaje kwa wengine nikusome kama unaroho jyeupe au ya wivu su ya kybania na kujifanya umetoa 1 au mbili na shingo upande
 
Mwambie tena hajakuelewa naona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…