myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
achana nae,,huu uzi wataupenda tu wengineUkiwa nyuma ndio inavyokuwa
Sio lazima niwe kwenye page ya mwisho
Sasa rudi nyuma katoe like kuliko kukaa kurefresh page ulipo
Utajifunza matumizi ya JF na kuenjoy gemu
Team burudani
Nitakuangalia wewe unatoaje kwa wengine nikusome kama unaroho jyeupe au ya wivu su ya kybania na kujifanya umetoa 1 au mbili na shingo upande
Asante sana MkuuHaha hongera sana
Pokea hyooooGentlemanx
Kwa mara ya kwanza napokea like ya cocochanel
Na pilipiliMihogo ya kukaanga
Natamani uwe ujumbe wangu