*MH.MBATIA:* Ni lini serikali itavipiga marufuku na kuviondoa mashuleni vitabu vyenye makosa na visivyoendana na mtaala ili visitumike kupotosha watoto wetu?
*WAZIRI WA ELIMU:* Vitabu hivyo kwa sasa havitumiki maana wanafunzi wako likizo.
Hii nchi ni Mungu pekee ndiye anatujua na kutulinda!