Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tuhuma ni zipi?

Michael Jackson alimpa vito vya thamani kijana ili alishiriki naye vitendo vya ngono, ndivyo linavyoonyesha Jarida la Leaving Neverland. Jarida hilo lenye kuonyesha udhalilishaji wa watoto, limeonyeshwa katika Tamasha la filamu nchini Marekani, maarufu The Sundance Film festival.
 
Katika jarida hilo anasema pamoja na kuendelea na maisha na kupata watoto, vitendo alivyokuwa akifanyiwa na Michael Jackson vilimfanya apate tatizo la kuanguka ovyo ndipo alipotoboa siri yake kwa daktari.
 
Mtiririko wa kesi za unajisi

Februari, 1993- Tuhuma za kwanza dhidi yake zilitolewa kwamba alikuwa akiwanajisi watoto katika hoteli alipokuwa katika ziara ya kuitangaza albamu yake ya Dangerous. Baada ya uchunguzi alionekana hana hatia na kesi ikatupwa.
 
Mwili wa aliyekuwa Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde, umewasili wakati huu hapa nyumbani kwa wazazi wake, maeneo ya Mbezi Africana jijini Dar es Salaam.

Kibonde alifariki Machi 6, 2019 alipokuwa akiwahishwa Hospitali ya Bugando Mwanza baada ya hali yake kubadilika ghafla alipokuwa akitibiwa katika hospitali ya Uhuru jijini Mwanza.

Baada ya taratibu zote za kuaga na ibada, msafara utaondoka hapa nyumbani milango ya saa 9 kwenda kumlaza kwenye nyumba yake ya milele, katika makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam.

Kibonde alikuwa muongozaji wa shughuli (MC) kwenye msiba wa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba aliyezikwa Machi 4, 2019, alianza kujihisi vibaya mara baada ya maziko hayo yaliyofanyika Bukoba mkoani Kagera.
 
[emoji3]Wewe mbona umeficha?Inaitwa "Show me yours and I will show you mine"
Mwanaume wa kweli asiye na umama hawezi kuhangaika na vitu vidogo vidogo kama hivyo. Bae wangu ana password zote kuanzia TECNO yangu mpaka kadi zote za benki. It is called integrity, trust and openness na ni msingi muhimu wa kuwa na mahusiano yenye ukweli na uwazi (in Nkapa's voice).
 
Julai 2005- Alishtakiwa kwa kuwanajisi watoto akituhumiwa kujichua, kuangalia video za ngono na kuoga nao pamoja. Alishinda kesi hiyo baada ya mmoja wa wadai kumtetea.
Wanasema kuna ajenda ya siri kuangamiza legacy ya watu mashuhuri weusi. Bill Cosby, R. Kelly, M.J na wengine watafuata. Morgan Freeman naona moto umepoa kidogo na pengine atasurvive. Ubaya wa hapa hata wewe Esta ukijitokeza ukasema kuwa fulani ambaye sasa ni mashuhuri aliwahi kukukonyeza mpaka ukajifeel uncomfortable ulipokuwa fomu foo Bwiru Girls Sec basi hiyo inatosha. Yaani mtu anaweza kufukuzwa kazi na kuharibiwa maisha hivi hivi tu kirahisi. Na hii imechangia sana kwa KaYego kuwa kaoga. Hali siyo shwari !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…