Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kuchoma sindano za kinga ni umama [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099] [emoji16][emoji16][emoji16]Wewe umechoma?
Heh.. Hii kali..Kuchoma sindano za kinga ni umama [emoji16][emoji16][emoji16]
"Mwanamme wa Kweli"??Mwanaume wa kweli asiye na umama hawezi kuhangaika na vitu vidogo vidogo kama hivyo. Bae wangu ana password zote kuanzia TECNO yangu mpaka kadi zote za benki. It is called integrity, trust and openness na ni msingi muhimu wa kuwa na mahusiano yenye ukweli na uwazi (in Nkapa's voice).
Ndiyo. A true man...it is a figure of speech ..."Mwanamme wa Kweli"??