Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sample size? limitations?
Sample size haina shida ali mradi tu iwe representative ya population inayofanyiwa uchunguzi. Limitations zinaweza kuelezeka na kwa kawaida huwa zinafuatiliwa kwa utafiti mwingine ambao unapanua mawanda ya utafiti mama. Utafiti unaofuatia, kwa mfano, unaweza kuangalia kama mazingira na hata socio-economic status ya walengwa vina effect yo yote kwa ujiniazi wa watoto.

Please leave this well done research about Misambwax alone [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…