Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,581
- 7,288
Nokia wasingeachwa nyuma leo hii tungekuwa na simu inayohitaji kuchajiwa mara moja tu kwa mwezi...mwaka 2050 kuna watoto watakuwa wanacheza kuchimbachimba chini na wataifukuwa hii simu na itakuwa bado na chaja jiwe mbiliView attachment 1043169
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisaNokia wasingeachwa nyuma leo hii tungekuwa na simu inayohitaji kuchajiwa mara moja tu kwa mwezi...