Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Teh teh teh mambo murua kabisa raha jipe mwenyeweKweli nime toka meeting, piga ma deals yangu, straight my home na Jf! Sitaki kuwawazia ...ohhh sijui nimeongea vizuri... nope! Naburudika na likes mpaka baadae tena!
Safari safi
Ngoja nimalizie kufagia kwanza ila kuna maviatu mengi subiri uje kudeki.Token nideki bana aah ka geto kachafu
HahahhahaahNimerudi kiongizi, nilienda majukwaa mengine nikaona naboreka. Nimerudi home
Usiwaze weka likeMaana sina muda wa kuwaza sana!
toa likes upate likes
Uzi mtamuHuu uzi walahi
PatriotismI love my country TANZANIA
Hakuna nenoGongeni kwa uwezo,
Hhahahaah ISIS hatakiwi kuwaza kabisaUsiwaze weka like
Pamojq mkuu kula likestoa likes upate likes
Pokea zako kwanzaUzi mtamu