Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kitendo cha kuwachunia mastaa wenzake hao kumefungua ukweli kwamba kumekuwa na hali isiyokuwa nzuri baina ya wachezaji hao hasa kwenye fainali za Kombe la Dunia 2018.
 
Wachezaji hao kwa pamoja walikuwa kwenye ushirikiano mzuri wakati Ujerumani ilibeba ubingwa wa dunia kwenye fainali za Kombe la Dunia 2014 zilizofanyika Brazil baada ya kuwa na kizazi chenye ubora wa hali ya juu kwa kuwatoa mastaa wengi wakati huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…