Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

The August
JF-Expert Member
Today at 3:06 PM
New #1
Habari wajumbe.

Jana nilipost uzi jukwaa la wakubwa kwa jina langu. Asubuhi ule uzi nimeangalia haupo. Sikujua kama ufutwa hadi niliposoma comments za wadau humu.

Kitu kilichonistua ni sim ya manengelo kama nusu saa iliyopita kuwa mm nimemchafua huku. Ikabidi nije nione. Niseme yafuatayo.


1. Jana nilipost ule uzi nikiwa nimelewa sana.

2. Manengelo ni dada mmoja ninayemuheshim sana. Nikiri sina binti ninayefahamiana naye JF zaidi yake. Tumekua zaidi ya JF. Tunazungumza hadi deals za hela. So, kwa heshima yake kwake ndio maana kila nachopost huwa namfiria yeye. Ndio maana hata uzi wa jana nilimtag yeye. Majukwaa mengi tu ninayopost huwa nina mtag. Tuliopo jukwaa la wanywaji wanajua hili.

3. Yule mwanamke wa mule sio Manengelo kwa namna yoyote. Hata ile video haihusiani nami wala manengelo.

NALIPENDA HILI JUKWAA LA WAKUBWA ILA PIA NAHESHIM SANA CONTACTS ZANGU.

SO KWA NAMNA YOYOTE ILE IELEWEKE KUWA HAIHUSIANI NA MANENGELI. TUNAHESHIMIANA SANA NA YULE DADA.
 
Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, Nzioka Waita hakutoa taarifa kuhusu namna ya uingiliwaji wa mitandao hiyo ulivyotokea, lakini akaongeza kuwa itarejeshwa tena mtandaoni baada ya kuchukuliwa kwa “hatua za suluhu ya tatizo hilo,”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…