Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika kitu ninakijua hapa duniani ni kumaster hati ya mwandiko wa mtu, katika dunia hii hakuna mtu anaefanana mwandiko na mwingine unless ucopy na kupest kama ilivyo sas kimaviiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anajiandikisha mwenyew kwenye account original na fake moja anachamba moja anajiteteaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ cha kujiuliza tuu urafiki wa mange na chagga umeanza lini mpaka leo amtaje yule ndio eastπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ waswahili tunaiita kungata na kupuliza
 
Hatua ya Real Madrid kumnyatia mshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar, 27, huenda ikasababisha msururu wa uhamisho ikiwemo ule wa mshambuliaji wa Juventus Paulo Dybala, 25, kuelekea Atletico Madrid. (Calcio Mercato)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…