Toa likes Pata likes...toa likes upate likes
ndio mtindo
Hali yako tu ya siku ya leo kama ni unaendelea vizuri?Hofu ya nini tena?
Nilitingwa nikajua lazima itanikosa...tukutane tena 100kNashukuru, nilikuwa katikati ya wageni wapya wa humu...mkapoteaaaaaa
shemejii... toa likes pata likesAsie jua maana usimwambie Maana
Unakubania fursaJamaa kila mrembo hapa anataka kumdhibiti. Mzee wa Hong Kong hashikiki
Nashukuru mungu aiseeh jana si sawa na leoHali yako tu ya siku ya leo kama ni unaendelea vizuri?
Kabisa maana unaweza kuumbuka kitaaMishe mishe tu siunajua huwezi shiba like