Vyakula gani utumie ili kuondoa tatizo la msongo wa mawazo
Tumia mchanganyiko wa asali na maziwa kwenye kikombe cha chai na unywe kila siku kabla ya kulala: jinsi ya kutengeneza. Chemsha maziwa yako, yachuje kisha weka kiasi kwenye kikombe, kisha chukua vijiko viwili vya asali wek na uchanganye kisha kunywa taratibu kama hutumii asali basi tumia almond au rozi kwa lugha ya Kiswahili ama unaweza kutumia maziwa ya nazi.