Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Manchester United inawataka wareno kinda watatu, ambapo itawagharimu kiasi cha pauni milioni 250.Makinda hao ni mshambuliaji Joao Felix, 19, na mwenzie ambaye anacheza nafasi ya ulinzi Ruben Dias, 21 wote kutoka Benfica, pia kiungo wa kati wa Sporting Lisbon Bruno Fernandes.Lakini Man U inakabiliwa na ushindani kwani watatu hao wanawaniwa pia na Man City, Juventus na Real Madrid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…