Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

duh! maana Opel, VW, BMW, Mercedes, Porsche, mashine za wajerumani kwa spid ndio wenyewe
Magari ya hawa jamaa kwa kweli yako sawa. Sijawahi kufika huko kwao. Wana tabia ya kwenda kasi sana ama? Nadhani wataweka option na hata wasipoweka jamaa watatafuta njia tu. Zile spidi gavana zilifika wapi?
 
NAMANGA: VURUGU ZAIBUKA MPAKANI MWA TANZANIA NA KENYA

- Wakenya wamechoma matairi barabarani kuzuia Watanzania kuingia nchini mwao

- Wanadai Polisi wa Tanzania jana usiku walivuka mpaka na kumchukua kinguvu Mfanyabiasha wa Kenya akiwa dukani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…