People have very high expectations from others.. they expect their patners to make em happy[emoji818][emoji818][emoji818]. Utaishia kulaumu watu tu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1055372
Hivi hii iliishia katikati? Hamna season nyingine?
Pobga anataka kuondoka, tumuache aende. Wachezaji wenye spirit ya kucheza UNITED ni bora zaidi hasa kwa farsafa ya club yetu.Lakini, jambo hilo limewazindua pia waajiri wake wa zamani Pogba, mabingwa wa Italia, Juventus wakihitaji tena huduma yake huko Turin ikiwa ni miaka mitatu imepita tangu walipomuuza kwa ada ya Euro 110 milioni mwaka 2016.
Amen!Mungu atupe afya na uzima
Bwana misifa asepe tu maana yule dalali wake ndie anayemshikia akili na miguu leo cheza vizuri kesho punguza spidi,leo ropoka hiki kesho sema vilePobga anataka kuondo, tumuache aende. Wachezaji wenye spirit ya kucheza UNITED ni bora zaidi hasa kwa farsafa ya club yetu.