capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Jamaa walinitukana nikaona isiwe tabu ngoja nikimbie kumbe ulikuwa unafatilia why hukuja hata kunitetea ndugu yako
Unhappy people require more sleep than those who are satisfied with their lives.
Hahahaha kaka nilizungukwa na Wakenya matusi kama yote kwenye ule uzi wanawake wa Tanzania VS Kenya 😂😂😂Wapi huko? Ungeniita Best 😎
Hahaha niliona umewazidi vyema sikuona haja ya kuongeza nguvu tena.Jamaa walinitukana nikaona isiwe tabu ngoja nikimbie kumbe ulikuwa unafatilia why hukuja hata kunitetea ndugu yako
Hahahaha kaka nilizungukwa na Wakenya matusi kama yote kwenye ule uzi wanawake wa Tanzania VS Kenya 😂😂😂
HahahahaUkiachana na mare riya vipi hizo chata za kwenye big G apo kitandani? Mambo ya Kizaman sanaView attachment 1057258
Jamani hahaha
Asante ila sitajibishana tena na Wakenya hawajui kiswahili vizuri ila wala lugha chafuPole sana nimeuona huo wizi ila sijawahi kuufungua.
Subutu nilikuwa najikaza tu 🤣🤣🤣🤣Hahaha niliona umewazidi vyema sikuona haja ya kuongeza nguvu tena.
Asante ila sitajibishana tena na Wakenya hawajui kiswahili vizuri ila wala lugha chafu