Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sekondari nilikuwa natoza watu pesa. Ai emu redeHelp me basi
Hahaha Madenge hili toto
Sitafanya tena ujinga huo. Siku hizi naruhusiwa tu kupaka mafuta na kuzichana basi...Mmm msaidie kufumua..unaanzia wapi
Lina sababu nzuri lakini...Hahaha Madenge hili toto
Kwa hiyo sasa kutakuw na dashboard inadisplay wenye "wow" nyingi, Walio na "sad" nyingi etc..😃 Just sayinglike
love
sad
hahaah
angry
wow
Usukumani kuna matunda yanaitwa nhundwa. Yanafanana na haya. Ni matamu sana...