Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Fainali uzeeni?Hahaha halafu fainali uzeeni sio
Inapendeza Bro,tuwe na siku njema na yenye baraka tele popote tulipo
Halafu hii tabia yaani. Nilikutana na kiporo after 15 years hatujaonana na baada tu ya salamu nywele zikafumuka ghafla ikawa "nataka niende saluni nikasuke". Niliishiwa pozi hata hamu ya kukipasha ikaniisha aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]View attachment 1060038
Masaa machache kabla ya kutwangwa risasi alitweet eti "it is a blessing to have strong enemies". It turns out his enemies were extremely strong. Wanasema jamaa alikuwa humble na easy going lakini ndo hivyo tena gang members. RIP...
DAB hoiiiiii !!!
Tanzania yetu