Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nyota wa zamani wa Manchester City, Yaya Toure amemtaja Pep Guardiola kuwa nyuma ya mafanikio na kiwango cha kiungo wa Raheem Sterling kwa sasa.
 
Sterling yupo katika kiwango bora akiwa amefunga mabao 19 na kutengeneza 16 katika michezo yote ambayo ameichezea klabu yake ya Manchester City na timu yake ya taifa la England.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…