Baada ya kumalizana na Newcastle usiku wa jana, Arsenal mechi zake ilizobakiza kwenye ligi, tano itacheza ugenini na mbili tu ndio utacheza nyumbani. Mechi zake za ugenini itakipiga na Everton, Watford, Wolves, Leicester City na Burnley, wakati mechi za nyumbani itacheza na Crystal Palace na Brighton.