Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii sio ndoto ni kweli mwanamuziki na mchezaji wa Coastal Union, Ali Kiba nusura azichape na mwamuzi Ruge Mutahaba wakati timu yake ya kitaa Wanasta ilipopokea kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Mjimuni katika mechi ya kuwania kombe la Ng'ombe hatua ya makundi ilichezwa Uwanja wa Toto Tundu uliopo Tabata Segerea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…