Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mesut Ozil amecheza jinsi nilivyotaka, ndiye mchezaji bora wa mechi. Napenda kila mchezaji acheze kwa kiwango bora na Mesut ameonyesha ubora na kutusaidia kupata ushindi,” alisema kocha huyo wa zamani wa Paris Saint Germain.
 
Ozil ameanza mara tatu katika mechi tangu Desemba 26. Emery alisema licha ya kupata ushindi huo, Arsenal ina kibarua kigumu kupambana na miamba mingine ya Ligi Kuu England Tottenham Hotspurs, Chelsea na Manchester United.
 
Duh bonge la alama. Huku afrika hata kama sio uswahilin bado angestaafu soka mapema
 
maarufu za kitalii mkoani Arusha, Impalla na Ngurdoto Mountain Lodge zimetangazwa kuuzwa na Benki ya Exim (T) Limited.

Hoteli hizo ambazo zinamilikiwa na wafanyabiashara kadhaa nchini, ambapo Mkurugenzi wake Mkuu, Melau Mrema alifariki mwaka 2017 zinauzwa na kampuni ya uwakili ya Locus ya jijini Dar es Salaam.
 
Kwa mujibu wa matangazo ya kuuzwa hoteli hizo, mnunuzi anatakiwa kutuma zabuni kwa kampuni hiyo kupitia wakili Dk Onesmo Kyauke kabla ya April 15 mwaka huu.

Hata hivyo, mmoja wa wakurugenzi wa benki hiyo, ambaye aliomba kuhifadhiwa jina lake alisema hana taarifa za hoteli hizo kudaiwa na Exim Bank.
 
Tumeshangazwa na hili tangazo, sisi Exim hawatudai tunadaiwa na NBC bank ambao ndio wana hati zetu na leo nimewauliza kuhusu deni hili nao wameshangaa" alisema.

Hata hivyo, alisema wanafuatilia kujua chanzo cha tangazo hilo ambalo pia linataja viwanja viwili vya Impalla hoteli.
 
Hata hivyo, Dk Kyauke alipotakiwa kuelezea juu ya tangazo hili alijibu kwa ujumbe wa simu yupo mahakamani.

Katibu mtendaji wa chama cha wamiliki wa kampuni za Utalii Tanzania (TATO), Sirili Ako alipotakiwa kuelezea juu ya tangazo hilo alisema ameliona lakini wao wanachohitaji ni watalii kupata huduma bora.
 
Nimeona Tangazo TATO hatuhusiki kufuatilia umiliki wa hoteli sisi tunataka watalii wapate huduma bora" alisema.

Hoteli za Impalla na Ngurdoto ni maarufu sana nchini kwani zimekuwa zikipokea watalii na mikutano mikubwa ya kimataifa.
 
Lakini siku za karibuni mikutano imepungua ambapo pia mikutano ya Serikali inafanyika kumbi za Serikali.

Ngurdoto Mountain lodge ilipata umaarufu serikali ya awamu ya tatu na nne kwa kupokea mikutano mingi ikiwapo mikutano ya semina elekezi.
 
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad amsema suala la Bunge kufikia uamuzi wa kutofanya naye kazi ni jambo zito ambalo linahitaji tathimini na kutazama athari zake.

Amesema kuwa maamuzi yakifanyika bila kuangalia athari zake yanaweza kuleta tatizo kubwa siku za baadaye.
 
wakati akizungumza na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kwa njia ya simu.

“Nafikiri ni jambo zito sana hilo na kama nilivyosema tunahitaji tathimini kali kutazama athari zake ni zipi,” amesema na kuongeza “tukifanya maamuzi ambayo hatujatazama athari zake linaweza kuwa tatizo kubwa zaidi badala ya kupata solution,”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…