Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

900 million people are eligible to vote in India's election with 8000 contestors. Voting starts 11th April to mid-may. Voting to be done in 7phases including voting via Whatsapp... I am flabbergasted and fascinated with these figures.
 
Kama ndoa yako imedumu kwa miaka kadhaa mkiwa na furaha, ni jambo jema.

Hali imekuwa tofauti, maombi ya talaka kwa wanandoa yanazidi kuongezeka katika maeneo mbalimbali nchini.

Baadhi ya sababu za hali hiyo imeelezwa kuwa ni pamoja na ukosefu wa uaminifu baina ya wanandoa, ukatili na hali ngumu ya maisha.
 
Mbali ya kuongezeka kwa ndoa zilizo katika foleni ya kuvunjwa, baadhi ya wanandoa ‘wanakufa na tai shingoni’ ndani ya nyumba zao, hakuna amani miongoni mwao.

“Unaona watu mbele ya jamii ni mume na mke, lakini nyumbani moto unawaka. Wanaishi nyumba moja lakini vyumba tofauti ili kulea watoto tu,” alisema mtaalamu wa saikolojia aliyeomba jina lake lisitajwe.
 
Alisema ndoa zimekuwa na changamoto kubwa katika zama za utandawazi ambazo zimeanza kubadili utamaduni wa Watanzania.

Meneja Uhusiano na Masoko wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita), Josephat Kimaro alisema kwa mwaka 2018, walisajili talaka 3,814 nchi nzima, lakini akasema idadi inaweza kuwa kubwa.
 
Unajua utaratibu ni kwamba wakishamalizana huko mahakamani na talaka ikatolewa sheria inataka huo uamuzi uletwe Rita ili usajiliwe na hapo ndipo inahesabika ni talaka,” alisema Kimaro. “Tatizo ni kwamba talaka zikishatolewa huko watu wanaona tayari ndio mambo yameisha, lakini kisheria ni lazima iletwe hapa tuisajili na kufuta cheti cha ndoa.”
 
Unapitia most recently used emojis za Bae unapata [emoji7][emoji7][emoji182][emoji104][emoji3590][emoji178][emoji171][emoji170][emoji160][emoji108][emoji191][emoji194][emoji132][emoji11][emoji8][emoji14] [emoji533][emoji533]na wewe anakutumianga tu [emoji38][emoji22][emoji22][emoji26][emoji20][emoji30][emoji102][emoji109][emoji101][emoji21] hadi inabidi ukae chini ujiulize kwani shida ni gani?
 
Kimaro alisema Rita inafanya mazungumzo na Mahakama kwa kutumia kwa pamoja mfumo wa kielektroniki ‘e-system’ ili talaka inapotoka waweze kuiona.

“Kwa vile wengi wakishapata ile hukumu ya talaka hawaji tena Rita inawezekana hata hii idadi ya talaka 3,814 tulizozisajili mwaka 2018 zikawa ni ndogo. Mfano Kilimanjaro tumesajili talaka tano tu mwaka 2018,” alisema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…