Wakati wanasoka bora kabisa kuliko wote, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo wakipatikana kwenye ligi za nchi nyingine, sambamba na Kylian Mbappe, Antoine Griezmann na Paulo Dybala wakicheza kwingineko, kwenye Ligi Kuu England kuna mastaa wa maana kabisa kama Harry Kane, Eden Hazard, Paul Pogba na wakali wengine wanaofanya ligi hiyo kuwa na mvuto mkubwa.