Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Felix alikaribia kutoa machozi kwa furaha ya kupiga hat-trick yake ya kwanza kwenye soka huku akiendelea kuonyesha makali makubwa kabisa ndani ya msimu huu. Kwa msimu huu, staa huyo anayetajwa kuwa ni Cristiano Ronaldo mpya, amefunga mabao 15 na kuasisti saba katika mechi 36 alizochezea Benfica msimu huu. Felix alishawahi kusema huko nyuma ndoto zake za kucheza sambamba na Ronaldo.
 
Griezmann aliweka mambo wazi wakati alipokiri kuipenda Barcelona mwaka jana kwenye dirisha la uhamisho wa majira ya kiangazi wakati staa huyo alipokuwa akihusishwa na mpango wa kutimkia Nou Camp kabla ya dili hilo kushindwa kufanikiwa na Mfaransa huyo kubaki Atelico.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…