Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uwiii .hamna kukubali kusomeshwa na mwanamme wallahi!
 
Ni sawa na yule denti wa mwaka wa 6 wa udaktari aliyepigwa shoka la kichwa na mpenzi wake last week huko huko Kenya na kufa papo hapo. Jamaa kajikaza mpaka kauza mashamba ya ukoo kumsomesha kumbe binti ana yake.

Ni matukio ya kuhuzunisha sana lakini kisaikolojia yanaelezeka. Mabinti inabidi waache mtindo huu hasa wakati huu ambapo maisha yamezidi kuwa maisha...
 
Umenikumbusha Song of Lawino
Ocol says he is a modern man,
A progressive and civilized man.
He says he has read extensively and widely
And he can no longer live with a thing like me
Who cannot distinguish between good and bad,
He says I am just a village woman,
I am of the old type,
And no longer attractive.
Ocol is no longer in love with the old type.
He is in love with a modern girl;
The name of the beautiful one
Is Clementine.

Brother, when you see Clementine!
The beautiful one aspires
To look like a white woman;
Her lips are red-hot
Like glowing charcoal,
She resembles the wild cat
That has dipped its mouth in blood,
Her mouth is like raw yaws
It looks like an open ulcer,
Like the mouth of a fiend!
Tina dusts powder on her face
And it looks so pale;
She resembles the wizard
Getting ready for the midnight dance;

And she believes
That this is beautiful
Because it resembles the face of a white woman!
Her body resembles
The ugly coat of the hyena;
Her neck and arms
Have real human skins!
She looks as if she has been struck
By lightning;
Or burnt like the kongoni
In a fire hunt.


I am not unfair to my husband,
I do not complain
Because he wants another woman
Whether she is young or aged!
Who has ever prevented men
From wanting another woman?
 
🤣🤣🤣🤣 Hahahaaaaa.. yaani umenikunaje?
 
Nimekukunaje eeeh!? [emoji16][emoji16][emoji16]

Huyo Clementine alinikaa sana akilini na sitakaa nimsahau...

Tafuta tafsiri yake ya Kiswahili (Ombolezo by Paul Sozigwa). Utaipenda sana !!!
Ntakitafuta aisee...
Sio kwa kichambo kile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…