Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siku tano za week wewe ni suits, pencil skirts, official shirts etc yaani unakuwa unavaa official kuna wengine huwa tunasahau hata kuvaa casual ukiwa nyumbani au unataka kutoka weekend unawaza mara tatu tatu nini uvae,
 
Denim/Jeans – hapa ni denim chochote, min skirt, pant, trouser,denim coat etc as long as ni denim ni chaguo zuri kuvaa weekend inakupa ile perfect casual & chic style kizuri kuhusu denim ni unaweza kuvaa na chochote iwe crop tops, shirts, t-shirt au blouse unaweza kupair na heels au flats ukamalizia na simple accessories unapata ile casual yet stylish look.
 
Oversize Button Down Shirt – hii kila mmoja wetu ana paswa kuwa nayo ni multi purpose inaweza kutumiaka ofisini na casual pia unaweza kuivaa yenyewe peke yake for the weekend lakini pia unaweza kupair na ripped jeans, skin jeans au pants inategemea na chaguo lako
 
T-shirt na Jeans – you can never go wrong with tshirt na jeans, make it chic kwa kuongezea accessories kama statement chain, earings au rings beba na a clutch umemaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…