Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Ufikirie?
Bro vipi tena?
Kwamba you are light skinned.Dah.. Nilisemaje tena?
Muache buana.. Ana mekanizm zake huyuUfikirie?
Bro vipi tena?
Kiungo wa Arsenal, Aaron Ramsey alitolewa mapema kwenye mchezo huo baada ya kupata majeraha, ambayo kwa mujibu wa kocha wa Arsenal, Unai Emery, huenda nyota huyo akakaa nje kwa majuma kadhaa.
Emery: "Aaron Ramsey amepata majeraha ya misuli, majeraha ya aina hii kawaida atakaa nje kwa majuma kadhaa .

Mentor wake ni potiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HAHAHA sikusema hiyo sentesi ...Kwamba you are light skinned.
Kwa sisi Wasukuma tunaoendekeza weupe mahari ni ng'ombe 75+...
(Ni utani bana)
Hio ya weupe ina ka ukweli kwa wasukuma lakini nashangaa niwaonao wameoa weusi sijui kwann au ni ka utani tuKwamba you are light skinned.
Kwa sisi Wasukuma tunaoendekeza weupe mahari ni ng'ombe 75+...
(Ni utani bana)
Kapoti kajanja kale...Mentor wake ni potiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umekosea kutegua kitendawili cha pruuuuu mpaka makaBinti Mpole kwani nimekosea nini ???
Kiungo wa Arsenal, Aaron Ramsey alitolewa mapema kwenye mchezo huo baada ya kupata majeraha, ambayo kwa mujibu wa kocha wa Arsenal, Unai Emery, huenda nyota huyo akakaa nje kwa majuma kadhaa.
Emery: "Aaron Ramsey amepata majeraha ya misuli, majeraha ya aina hii kawaida atakaa nje kwa majuma kadhaa .
Unafikiri nimejuaje? Na mimi siyo mtabiri, mtume wala nabii?HAHAHA sikusema hiyo sentesi ...
ingawa kweli.. ila simfikii huyo
Kwamba you are light skinned.
Kwa sisi Wasukuma tunaoendekeza weupe mahari ni ng'ombe 75+...
(Ni utani bana)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kapoti kajanja kale...
Kanamung'unyaga kimya kimya. Kale kanatembea na mvinyo mwekundu na Roses za kutosha...na viatu vya mchongoko...na magauni ya bluu [emoji16][emoji16][emoji16]
Kapoti haka hapa na mikwara ya ugumu ezi yujo [emoji16][emoji16][emoji16]Dhamira inamsuta. Karma is a bitch, It will take care of this moron! Sisi WAGUMU haya haya hayatuhusu! [emoji847][emoji847][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Ni kweli kabisa bro. Mpaka leo hii. Ukimparamia binti mweupe mrefu mwenye msambwanda mchapa kazi aisee mahari yake ni ya kutisha.Hivi hii kasumba ina ukweli wowote bro