Duuuuu, dharau gani hizi!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
View attachment 1077898
Asante... Pamoja mkuuSalaam kwako pia
Piga kazi dogo upate hela ya viwaini vyekundu na tumaua ua twa kuhonga. Acha kulia lia, mwenzio huku Mwakaleli mvua yangu baridi langu na bado nimekomaa shambani... Wanaume tumeumbwa matesooo mateso kuhangaika[emoji443][emoji444][emoji443][emoji445][emoji444][emoji443]Hapa Nansio hakuna cha Easter Monday Holiday wala nini. [emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji849][emoji849][emoji849]
Nakusalimu pia Mkuu!Asante... Pamoja mkuu