Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ninamuona anaweza kuwa kocha wa Arsenal siku moja kama si timu ya Taifa ya Ufaransa,’ alisema Wenger wakati akizungumza na Canal Football club. “Kwa kuwa bado ni kijana, ana uwezo wa kuinoa timu ya taifa. Nadhani maisha ya ukocha ni haya haya,” aliongeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…