Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
View attachment 1080132
[emoji124][emoji124][emoji124]
Best wishes Mgumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najua kua siyo hivyo ila mashairi yako yanafurahisha.Heheh sio hivyo mkuu
Yaani leo nimeamini KIKI ni Zari 🤣🤣🤣🤣🤣aah ubest JF ,mie sijali kabisaaaa. Teeena ni anonymous forever. Raha ya ligi punguza ubest[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Humu wadada wengi wanamchukia zari ukiwauliza sababu hawana wanabaki kuleta kejeli nami nawadaka hivyo hivyo. Ukiwa mpole na mpenda makundi ya humu basi inabidi uwe upande wao wasikuchukie mie hali hio siiwezi kabisaaaYaani leo nimeamini KIKI ni Zari 🤣🤣🤣🤣🤣