Alitegemea Zari atachakaa Kumbe bibie nyota inazidi kupendezaKazoea kuishi kwa kiki. Bila kuongelewa anakosa raha sana. Mwaka umepita kaona zari ka move on bila kumnyenyekea wala kumuomba child support ikamuuma balaa
Alitegemea Zari atachakaa Kumbe bibie nyota inazidi kupendeza
Ngoja nitafute kichupa cha Chardonnay kabisa kabisa nije nile likes kwa furaha. Leo hawa MU wakizubaa wanakula hamsa utafikiri Simba [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AiseeNgoja nitafute kichupa cha Chardonnay kabisa kabisa nije nile likes kwa furaha. Leo hawa MU wakizubaa wanakula hamsa utafikiri Simba [emoji16][emoji16][emoji16]
Zari alimtumia Domo kwa manufaa ndani ya miezi kamshawishi wajenge nyumba South,wakina Sepenga wanadanga kijinga.Kama akina wema,mabeto,hawa wakaishia kumuomba msaada kwa zari kagonga kisiki inauma
Mzima MpendwaAisee
Ile waliinunua,kelele zikawa nyingi mtandaon ooh kapanga mara ya kinje,leo wambea wekosa kusema ya kupanga hawaelew wapige wapi waache wapi. Sepenga alikua anawaza pombe tuZari alimtumia Domo kwa manufaa ndani ya miezi kamshawishi wajenge nyumba South,wakina Sepenga wanadanga kijinga.
Mimi mzima mpendwa,,habari za kwako??unaendeleaje na mpambano huko[emoji2]Mzima Mpendwa
Niko bukheri kabisaMimi mzima mpendwa,,habari za kwako??unaendeleaje na mpambano huko[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimekuona aisee,,[emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umefika hadi huko umenikumbusha Davet nae alileta comment moja humu kuhusu ununuzi wa bidhaa zenji
Inapendeza mpendwa,karbuNiko bukheri kabisa