Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sihofii kwa sababu nimeweza kutatua hivi vitu leo, nimevivunja vunja. Ingawa vipo lakini havina nguvu ndani yangu. Kwenye akili yangu. Kabla sijajifunza nilikuwa naelewa kuwa mafanikio mazuri ni kuwa na Nyumba, Gari ya kifahari, nguo zenye majina, viatu vya majina makubwa.
 
Mtu mwingine anaogopa umri , anawaza kuhusu kuolewa mapema, kuoa mapema. Anawaza je kama nisipoolewa au kuoa, itakuaje? mawazo ya aina hii ni ya kijinga, ni mawazo ya mtu ambaye hatumii muda wake vizuri ili afurahie maisha. Ni mwoga.
 
Jiulize sasa ni nani amekuumiza , na kama una hasira , maumivu yako yamekwisha au yanazidi? Lini utasamehe? Unaweza kulaumu mtu kumbe sio kusudio lake kukuumiza . ungeweza kutambua na kuelewa chanzo ingekusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…