Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]
Mekumiss bhana shost
nikapita mtaani huko umenipa shida ya kusoma comment 200+,kumbe ligi hujaacha ee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilikua natest kama bado nina matilio ya ligi. Mwamko mzuri sana kule haikua shida kusambartisha haters. Now tupo jeshi kuuubwaaa
 
Kuna comment nimesoma Instagram jamanii nimecheka nusu saa 🀣🀣🀣🀣🀣Eti Diamond anamlaumu bure Mama Tiffah wanaume kama hawa anawaachaje kwa mfano.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu wamepinda. Ila jamaa wana lips za denda ,kuja kwa domo uwiii lips kama nyama ya nyongeza
 
If you want happiness for an hour β€” take a nap.
If you want happiness for a day β€” go fishing.
If you want happiness for a year β€” inherit a fortune.
If you want happiness for a lifetime β€” help someone else
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…