Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tuangalie Uwiano ulipo kati ya Namba na Maneno.

0= Upendo. Ukikosekana upendo ndani ya mtu, hataweza kufanikiwa katika kumpenda mwingine. hataweza kumpenda Mungu . Hata kama atafanya mambo makubwa kiasi gani , hatadumu na hayo mambo.Atateseka kila siku. upendo unabeba kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…