Hii ni tuzo kubwa kwa mchezaji, kuchaguliwa kuwa wewe ni bora na wachezaji wenzako unaocheza dhidi yao kila wiki," amesema van Dijik na kuongeza, "ni kitu cha kipekee na ninajivunia kukipokea."
Katika mbio za ushindi van Dijik amewapiku Raheem Sterling, Bernardo Silva, Sergio Aguero, Sadio Mane na Eden Hazard.
Hata hivyo Sterling pia ameshinda tuzo za PFA kwenye kipengele cha mchezaji kinda