[emoji16][emoji16]Habari yako jiraniSubiri “Matamko” baada ya kazi hii nyeti na ngumu kumalizika!
Rufaa yenu TAKUKURU imeishia wapi?Hahaha nmeona mkuu,,mpo vizuri sana
Duh bro all the best hope ukiibuka huko utakua na iphone si chini ya tatuWapendwa;
Safari hii lazima niage. Vinginevyo King Davet atanizushia kila aina ya skendo.
Naingia chimbo muhimu sana na sitaweza kuwa hewani hapa kufurahi na kutaniana kama nilivyozoea. Nyinyi ni sawa na familia na naamini nitawamisi sana.
Mungu Akipenda Tutaonana tena terehe 31 Mei 2019. Nawapenda sana na bakieni katika mibaraka na uangalizi wa Mungu wetu.
View attachment 1085178
#HakunaNyandazaJuuKusini
#Sijanyang'anywaNywila
#MsisikilizeUwongowaKingDavet
#MajukumuyaKazi
#MwanaumeKupambana
#WanaumeTumeumbiwaMateso
#KupambanakwaAjiliyaFamilia
#Sijazinduliwa
Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mkuu; huyu ni Msukuma? [emoji16][emoji16][emoji16]
Hata nyumbani wanakufunga 😀😀Bro,wale Ajax wasikie tu,shughuli yao Juve na Madrid wanaijua vyema[emoji23][emoji23]
Paris St-Germain inafikiria kumnunua kipa wa Manchester United davdi De Gea kwa dau la £90m huku kipa huyo wa Uhispania mwenye umri wa miaka 28 akitarajiwa kulipwa £450,000 kwa wiki na mabingwa hao wa Ufaransa. (Star)
Bro,wale Ajax wasikie tu,shughuli yao Juve na Madrid wanaijua vyema[emoji23][emoji23]
Manchester United inajiandaa kumnunua kipa wa Atletico Madrid mwenye umri wa miaka 26 Jan OBlack. (ESPN)
Manchester United inajiandaa kumnunua kipa wa Atletico Madrid mwenye umri wa miaka 26 Jan OBlack. (ESPN)
Thanks bro, all the best huko.Wapendwa;
Safari hii lazima niage. Vinginevyo King Davet atanizushia kila aina ya skendo.
Naingia chimbo muhimu sana na sitaweza kuwa hewani hapa kufurahi na kutaniana kama nilivyozoea. Nyinyi ni sawa na familia na naamini nitawamisi sana.
Mungu Akipenda Tutaonana tena terehe 31 Mei 2019. Nawapenda sana na bakieni katika mibaraka na uangalizi wa Mungu wetu.
View attachment 1085178
#HakunaNyandazaJuuKusini
#Sijanyang'anywaNywila
#MsisikilizeUwongowaKingDavet
#MajukumuyaKazi
#MwanaumeKupambana
#WanaumeTumeumbiwaMateso
#KupambanakwaAjiliyaFamilia
#Sijazinduliwa
Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
iPhone niliahidiwa mwisho wa mwaka. Hiyo pekee ndiyo naisubiria japo nadhani sijui nimeshakorofisha. Ni mwendo wa TECNO tu kama kawa [emoji16][emoji16][emoji16]Duh bro all the best hope ukiibuka huko utakua na iphone si chini ya tatu
Asante bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Thanks bro, all the best huko.
Bila shaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu; huyu ni Msukuma? [emoji16][emoji16][emoji16]