Kwaupande wangu watu ninao wasiliana nao sana huwa nawamudu na inatokea sana sema huwa inageuka kama sehemu ya utani ila linapokuja swala la watu wa kuheshimiana huwa naongeza umakini sana 😂😂😂Umeona eeh! Sasa iwe bahati umemuandikia muelewa inakuwa siyo big deal akiwa kichaa imekula kwako 😂😂😂
TZ simama nishuke!So sad. Pesa za uchaguzi wa ajabu ajabu zingetumika kulipa wafanyakazu,kupandiaha madara etc jaman