🤣🤣🤣 AiseeOngezeni speed ya kupost leo nina mzooker wa kulike tu
Eeh? ni mchaga huyu?Jamaa utasema sio mchaga
Mimi mzima Moudy..[emoji1][emoji1]Nini tena?
Hujambo Fragaria
Nzuri MkuuHabari za jioni/usiku wakuu
Mkuu kitambo sana, miaka 80 wakati huyu jamaa akitamba kwenye kumbi za Disco
Hahaha anaogopa atachekwa🤣🤣🤣 Dah Mange amedata sasa si amuache tu
Gari tamu sana lile ..
Yaani ametishaa..Hahaha anaogopa atachekwa
Mie team man u kuhamahama nimechoka hahaahTeam Ajax,,tujuane mapema[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwingine anapandikiza mche wa mti?😄Endelea tu....
Miaka hiyo mkuu, unatukumbusha mbali bro
Anafanya shoo, ujue wakenya wanamkubali sana huyu jamaa.Mhh hela ya bata anaitolea wapi sasa
NjemaPop Mkuu za kwako?
Hahahahaha, ati wajukuu?Hahaha ukweli watu wengi huwa hawaukubali
Mbona wanasema ni Chakuleer..? pardon my frenchAnafanya shoo, ujue wakenya wanamkubali sana huyu jamaa.
Na usikute analelewa na jimama la huko
Yes ni mchaga asiye jua nidhamu ya pesaEeh? ni mchaga huyu?