Kwamba Ningendako hana wajukuu mkuuHahahahaha, ati wajukuu?
🤣🤣🤣 Labda kachanganya?Yes ni mchaga asiye jua nidhamu ya pesa
Ana nyimbo mpya ama kwenye shoo anarudia za zamaniAnafanya shoo, ujue wakenya wanamkubali sana huyu jamaa.
Na usikute analelewa na jimama la huko
Kitu original 😀😀😀😀🤣🤣🤣 Labda kachanganya?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bila picha za hayo magari?
Nashukuru mkuu, nimeisubiri mei mosi kwa hamu nisikie donge nono la mshahara lakini wapi, afadhali nyie mlio kwenye ofisi za Kimataifa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2089][emoji2089]Mimi mzima Moudy..
Habari za Mei Mosi
Lakini alisema mumsaidie kumwaga povu [emoji2][emoji2][emoji2], nilicheka sanaHahaha anaogopa atachekwa
HahahaMie team man u kuhamahama nimechoka hahaah
Endelea tuMwingine anapandikiza mche wa mti?[emoji1]
Kama chakula acha alelewe na walajiMbona wanasema ni Chakuleer..? pardon my french
Ningendako hata mtoto sijui kama anaye, Kwani una wajukuu dadake?Kwamba Ningendako hana wajukuu mkuu
Wakenya wanampenda yeye na nyimbo zake, haijalishi ametoa mpya au zilezile.Ana nyimbo mpya ama kwenye shoo anarudia za zamani
Halafu hapa bongo alikua anapigwa mara kwa mara na dududbaya, ameona heri ahame nchi [emoji1][emoji1]Ana nyimbo mpya ama kwenye shoo anarudia za zamani
[emoji818][emoji818]
Alichotendewa kaka yao kiliwaumiza sana. Sijui jamaa kajificha wapi duh chyna kibokoKweli kabsa Numby,ikitokea kwao wanaona kama kipya kiuharisia hv vitu mtaan vya kawaida sana,tunaishi navyo